Friday, June 15, 2012
OUR HUMBLE BEGINNINGS
Shalom Tabernacle as a church begun in 1997 in very very humble beginnings. The following pictures tell the story. Viewing these pictures reminds us of the grace of God, who can take us from where we were to what we are and to what He would like us to be. SOLA DEI GLORIA - Glory to God!
Monday, June 4, 2012
Holly Spirit Sunday
Jumapili ya Tarehe 13 May ilikuwa ya kipekee sana iliyokuwa imejaa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu, kama ilivyo ahadi katika neno la Mungu ya kwamba "Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho
Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi
wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi" (Mdo 1: 8) ndivyo ilivyokuwa hapa Shalom Tarbenacle, uweza wa Mungu ulitembea wakati mtumishi wa Mungu Rev. George Nywage ( Pichani) akihubiri na kuachilia uweza wa Roho Mtakatifu
Watu wakiwa makini kuusikiliza ujumbe wa neno la Mungu kuhusu Nguvu za Roho Mtakatifu.
Watu wakiomba kwa pamoja kuachila nguvu za Roho Mtakatifu, watoto pia hawakuwa nyuma maana ahadi ya Roho Mtakatifu ni kwa watu wote .
Nguvu za Roho Mtakatifu zilimtembelea Kijana huyu ambaye alikuwa anasumbuliwa na mapepo
Kijana amenyanyuka baada ya kufunguliwa kutoka kwenye vifungo vya mapepo. Na hapa Shemasi Michael Shangali na Mzee Emmanue Kajiru wakimtia moyo kijana.
Subscribe to:
Posts (Atom)