Monday, June 4, 2012

Holly Spirit Sunday



Jumapili ya Tarehe 13  May ilikuwa ya kipekee sana iliyokuwa imejaa nguvu na uweza wa Roho Mtakatifu, kama ilivyo ahadi katika neno la Mungu ya kwamba "Lakini mtapokea nguvu, akiisha kuwajilia juu yenu Roho Mtakatifu; nanyi mtakuwa mashahidi wangu katika Yerusalemu, na katika Uyahudi wote, na Samaria, na hata mwisho wa nchi" (Mdo 1: 8) ndivyo ilivyokuwa hapa Shalom Tarbenacle, uweza wa Mungu ulitembea wakati mtumishi wa Mungu Rev. George Nywage  ( Pichani) akihubiri na kuachilia uweza wa Roho Mtakatifu


Watu wakiwa makini kuusikiliza ujumbe wa neno la Mungu kuhusu Nguvu za Roho Mtakatifu.






Watu wakiomba kwa pamoja kuachila nguvu za Roho Mtakatifu, watoto pia hawakuwa nyuma maana ahadi ya Roho Mtakatifu ni  kwa watu wote .









Nguvu za Roho Mtakatifu zilimtembelea Kijana huyu ambaye alikuwa anasumbuliwa na mapepo





Kijana amenyanyuka baada ya kufunguliwa kutoka kwenye vifungo vya mapepo. Na hapa Shemasi Michael Shangali na Mzee Emmanue Kajiru wakimtia moyo kijana.

No comments: