Shalom!
Tunapenda kuwatambulisha kwenu huduma zingine za kijamii zinazoendeshwa na Shalom Tabernacle, Majani Mapana.
1. Pentecostal Community Development Agency (PCDA) ni Non Governmental Organization (NGO) iliyosajiliwa serikalini kwa hati ya usajili namba 00002820 ya tarehe 30 Decemba 2008.
. PCDA inafanya huduma za kijamii kwa niaba ya KLPT Shalom Tabernacle kama ifuatavyo:
1) Kuwasaidia wanafunzi walioshindwa kulipa ada shuleni kwa sababu za mazingira yao ya kifamilia ama kimaisha.
2) Kuwasaidia wajane kwa kuwaunganisha pamoja na kuwaanzishia mfumo wa pamoja kuwainua kiuchumi kama vikoba.
3) Kuwasaidia watoto yatima walioko mashuleni kuweza kukidhi kwa sehemu mahitaji yao ya kimaisha na ya shule.
4) Kuwatembelea wafungwa na kuwapa msaada wa vitu vya kujikimu kama sabuni, dawa za meno, n.k.kwa kibali cha uongozi wa gereza.
2. Shalom SACCOS yenye hati ya usajili namba TAR. 484 ya tarehe 12 Juni, 2008. Ushirika huu unawasaidia washirika wa hapa kanisani na wengine wanaopenda kujiunga kukopa na kurudisha mikopa hali wakiinua vipato vyao kwa kufanya biashara na kuinuka kiuchumi.
Tutawaletea maelezo zaidi ya huduma za PCDA na Shalom SACCOS .
Kwa mawasiliano:
E Mail: tabernacleshalom@gmail.com
.................................................................................
Mchungaji: KLPT Shalom Tabernacle.

No comments:
Post a Comment