Tuesday, September 30, 2008

MAZISHI YA MPENDWA WETU LIDYA HOZZA

Marehemu dada yetu mpendwa Lidya Hozza
Baadhi ya wanafunzi waliokuwa wakifundishwa na Mwl Lidya katika shule ya Msingi mafuriko wakiwa wamefika KUMUAGA mwalimu wao katika safari yake ya mwisho.




Mchungaji George Nywage akisoma neno la Mungu la faraja nyumbani kwa kaka wa marehemu Chumbageni flats za TRA usiku wa siku aliyofariki.

Baadhi ya waombolezaji waliofika MAKABURINI MASUGURU kOROGWE
Mchungaji G.Nywage akihubiri neno la Mungu wakati wa mazishi ya mareheme dada Lidya
Kaka wa marehemu, Martine(mwenye miwani), akiwa amesimama kwa majonzi makubwa jirani na jeneza la marehemu dada yake

Mahubiri


Mchungaji akimshukuru Mungu baada ya mazishi


Waombolezaji kutoka Tanga, na waliokuwa washirika wenza wa marehemu Lidya





Masista hawa ni dada wa marehemu Lidya wakiweka mashada,...
Wifi wa marehemu, mke wa Mr Martine akiweka shada la maua katika msalaba wa kaburi la marehemu Lidya
Mama wa marehemu akisaidiwa na mama mkubwa wa Lidya kuweka shada la maua











Kaka wa marehemu wakiweka mashada ya maua




Mchungaji wa Usharika Mlingano KKKT, Mch. Mteri akiweka shda la maua

Shangazi wa Marehemu, Lilian Ndauka akiweka shada la maua










Mchungaji Bombo wa Kanisa la Elimu Nguvumali akiongoza maombi ya shukrani
Viongozi wa wanawake WWWK wa KLPT Majani Mapana wakiwakilisha wanawake wote wa kanisa hilo kuweka mashada ya maua kwenye kaburi la Mwanachama wao marehemu Lidya.







No comments: