Sunday, September 21, 2008

SIKU KUU YA WATOTO KANISANI.

Aston Mwakasege akishiriki kuongoza kuabudisha.
Mch. G. Nywage akihamasisha jambo mara baada ya muhubiri kumaliza mahubiri.
Baada ya muhubiri John Kitwika kualika watu mbele kwa maombezi
Viongozi wa kusifu na kuabudu kutoka kanisa la watoto wakiongoza
washirika kumwabudu Mungu
Watoto wakiongoza kuombea watu wenye mahitaji mbalimbali baada ya mahubiri


Mch. George Nywage akishiriki kufanya maombezi kwa watu wenye mahitaji.



Mchungaji Christine Nywage akiongoza maombezi kwenye ibada ya watoto.
Baada ya mahubiri, Ndugu Frank F. Makupa alisimikwa rasmi kuwa Mzee wa kanisa.
Mzee mteule, Frank Makupa akisimikwa rasmi kwa maombi.

Shaking hands with church members after the service


Watoto walitoa zawadi kwa kanisa, ambayo walitaka iwe mchango wao kwa ujenzi wa ghorofa la kanisa
Gladness Ndauka akighani ngonjera
Wazee wa kanisa wakipokea zawadi kutoka kwa watoto.
Wachungaji wakiomba baraka kwa watoto kwa utumishi mkubwa walioufanya.
''Baraka za Bwana'' kwa watoto kutoka kwa Mchungaji.



Mchungaji Christine akifafanua jambo wakati wa ibada iliyoongozwa na watoto.
wa kwanza kuja kupokea maombi kutoka kwa muhibiri







Muhubiri wa ibada iliyoongozwa na watoto, John Kitwika


Rev. Christine and George Nywage.






Kiongozi wa nyimbo za kuabudu kutoka kanisa la watoto akiongoza kuabudu siku ya watoto.


Muhubiri kazini








Watoto wakibubujika wakati wa maombi























Kiongozi wa ibada, Steven B. Mngumi
Heshima kwa Yesu
Watoto wakiongoza washirika kusujudu mbele za Bwana


Watu waliohamasika kumsifu Mungu








No comments: