Tuesday, August 19, 2008

IBADA YA WATOTO KANISANI

mtoto mmojawapo alihudhuria ibada ya watoto, hapa akiwa amekaa na Mzee kiongozi wa kanisa hili Mzee Elias Ludamila.
Katika siku hiyo ya watoto, watoto walipata nafasi ya kuonyesha vipaji vyao hasa katika uimbaji na maigizo.
Watoto shupavu katika bwana, wamesogea mbele za bwana kwa maombi. Anayewaombea ni Mch. George Nywage.
Mchungaji Christine Nywage naye alikuwepo akishirikiana na watoto kufanya huduma ya maombezi katika ibada ya watoto.
Mungu anamsikia mtu yeyote aliyetakaswa kwa damu ya yesu. Hapa mtoto daniel kitwika, aliyekuwa muhubiri siku ya ibada ya watoto akimuombea mtu mzima.
Daniel Kitwika, muhubiri wa ibada ya watoto akiendelea kuombea watu aliowaita madhabahuni kwa maombezi.

No comments: